Wakoloni wa Kiingereza walipoondoka moja kwa moja nchini Singapore mwaka 1974,Wasingapori walilia sana huku wakiuliza: “Jamani Sasa mnatuachaje?”
Wakati huo Nchi ya Singapore haikuwa na kitu chochote ukiachilia mbali ujinga maradhi na umasikini. Sehemu kubwa ya ardhi yake ni miamba na mawe, haikujaaliwa rasilimali kama tulizo nazo Afrika. Wasingapori wakabaini kwamba rasilimali muhimu kuliko zote duniani hupatikana kichwani.
Basi Wakaweka msisitizo wa pekee katika elimu. Wak...awekeza katika elimu. Wakahakikisha wanakuwa na bajeti ya kutosha kuinua elimu yao. Leo hii Wasingapori si wajinga tena, si masikini tena na hawasumbuliwi na maradhi kama ilivyokuwa mwanzo. Ni nchi inayoongoza kwa usafi duniani na ubunifu katika nyanja nyingi tu.

Sisi wenye Rasilimali za kutosha tupo tu,bado haieleweki kipaumbele cha kuinua maisha ya Watanzania wa hali ya chini kipo wapi.
No comments:
Post a Comment